Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 403:
:Kipala salaam. "Mshubiri" au "msubili" ni majina kwa spishi kadhaa za ''Aloe''. Nimepata "kisimamleo" pia, lakini sijui ni spishi gani. Kwa asili majina ya kwanza yalitumiwa kwa spishi za Afrika ya Mashariki, lakini nafikiri tunaweza kuyatumia kwa spishi zote sasa. Kwa hivyo, hata ''Aloe maculata'' ni "mshubiri". Nitajaribu kupata nafasi kuanzisha makala yake.
:Tafsiri ya "succulent plant" si rahisi. Niliona tafsiri kadhaa lakini sizipendi. Ni wazi kwamba wafasiri/wapendekezaji wengi hawafahamu biolojia sana. Sijui kwamba istilahi moja imeshazagaa sana katika shule na vyuo nyingi. Mimi ninapenda "mmea mwenye majani manono". '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo#top|majadiliano]])''' 20:25, 29 Novemba 2014 (UTC)
::Asante kwa maelezo. makala iliyotafutwa hasa ilikuwa kuhusu '''Aloe vera.''' Hapa sioni tatizo kutumia jina hili la Kilatini maana inatumiwa kwa Kiswahili siku hizi. ila tu kwa maelezo sawa tutumie mshubiri kwa jenasi '''Aloe'''. Kuhsu succulentes sina upendeleo wowote ila ti swali: je "mmea mwenye '''majani''' manono" ni kweli tunachotaka? Si mtaalamu lakini nikiangalia maelezo mimea hii inatunza maji mara nyingi kwenye majani, lakini mengine pia katika shina. Nimeelewa vema? Sasa kama tunatumia lugha inayotaja majani pekee - je tunaweza kuingiza pia mimea inayotunza maji shinani? [[Maalum:Michango/91.98.113.164|91.98.113.164]] 10:19, 30 Novemba 2014 (UTC)