Content deleted Content added
Fasiri
Mstari 407:
::::Labda "sukyulenti"? Silabi "kyu" ni adimu sana katika Kiswahili, lakini neno lingine lililo na silabi hayo ni neno lililoswahilishwa pia "molekyuli". '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta|majadiliano]])''' 18:45, 30 Novemba 2014 (UTC)
:::::Tukichagua "sukyulenti", basi tunafanya "barbarishaji" (shenzishaji?) mbili: kwanza uingerezishaji kutoka Kilatini na halafu uswahilishaji. Kwa sababu mimi si Mwingereza, siipendi sana. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo#top|majadiliano]])''' 19:31, 30 Novemba 2014 (UTC)
::::::☺☺ Unasema kweli! Pia ni ya ukweli kwa mfano wa molekyuli - Kilatini lilikuwa "molecula" --> swahilisha --> "molekula". Kwa bahati mbaya, wasemaji wengi sana wa Kiswahili wanalazimishwa kusoma Kiingereza, yakisababisha Kiswahili kuingerezishwa. Haya pia yalikuwa ya kishenzi... '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta|majadiliano]])''' 00:41, 1 Desemba 2014 (UTC)