Content deleted Content added
Fasiri
Mstari 408:
:::::Tukichagua "sukyulenti", basi tunafanya "barbarishaji" (shenzishaji?) mbili: kwanza uingerezishaji kutoka Kilatini na halafu uswahilishaji. Kwa sababu mimi si Mwingereza, siipendi sana. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo#top|majadiliano]])''' 19:31, 30 Novemba 2014 (UTC)
::::::☺☺ Unasema kweli! Pia ni ya ukweli kwa mfano wa molekyuli - Kilatini lilikuwa "molecula" --> swahilisha --> "molekula". Kwa bahati mbaya, wasemaji wengi sana wa Kiswahili wanalazimishwa kusoma Kiingereza, yakisababisha Kiswahili kuingerezishwa. Haya pia yalikuwa ya kishenzi... '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta|majadiliano]])''' 00:41, 1 Desemba 2014 (UTC)
::::::: Kuhusu "upijinizaji" naunga mkono. Haya twende kwa "sukulenti" pamoja na "mimea wenye utomvu mwingi" (redirect). "Mimea nono" ingekuwa fupi zaidi na kulingana na majina mafupi katika lugha za Kizungu (Fettpflanze, fat plant, vetplant) lakini sijaona lugha kama hii kwa Kiswahili '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 06:43, 1 Desemba 2014 (UTC)