Jani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '300px|thumbnail|Majani yenye umbo la sindano 400px|thumbnail|Muundo wa jani Jani ni ogani ya mimea...'
 
Mstari 5:
 
==Umbo==
Umbo lake mara nyingi ni bapa na nyembamba. Ubapa unaisaidia kuwa na usiuso mkubwa kwa kupokea nuru nyingi iwezekanavyo, na wembamba unasaidia nuru kufikia seli ambako inatumiwa na vyembe vya [[viwiti]] kuendesha usanisinuru.
 
Umbo tofauti ni kama sindano. Maumbo ya jani kama sindano au miiba yanatokana na mazingira ambayo ni [[yabisi]], ama kwa miezi kadhaa au kwa muda mrefu zaidi.
 
==Muundo wa jani==