Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 61:
 
===D. Swali la Mkutano mwezi wa MAchi katika TZ===
narejeaNarejea majadiliano '''[[Wikipedia:Jumuia#Salamu_kutoka_mkutano_wa_Wikiindaba_mjini_Johannesburg.2C_Afrika_Kusini|hapa]]'''
*mimi naweza kupanga kwa wikendi (kwenu wikendi afadhali?) 21-22 Machi kuja TZ.
*'''washiriki:''' Oliver alisema kwake itawezekana. ChriKo alisema wakati ule atakuwepo Kenya. Riccardo alisema sawa kama ahichkui muda mno. Muddy hana shida. Mimi nategemea kutembelea TZ wakati wa likizo ya [[21 Machi|mwaka mpya wa Kiajemi]]. Sasa tumempata Rberetta kama mshiriki lakini nisipokosei yuko mbali sana. Halafu huko Joburg alikuwepo Mtanzania mmoja ambaye haandiki kwetu ni mtu wa chuo kikuu lakini kama kuna swali la usambazaji labda tungemkaribisha?
Mstari 68:
*Ombi kwa Watanzania: Je Muddy na Riccardo: mnaweza kupeleleza je kuna mawasiliano gani kwa ndege ? (baina Nairobi-Arusha-Morogoro-Dar?) na gharama gani? Tukipata msaada wa WMF tunaweza kugharamia pia tiketi za ndege, hii itapunguza muda wa usafiri. (Mimi nitafurahi kupanda basi Dar-Moro). Tutahitaji gharama kwa ajili ya kuandika ombi kwa WMF.
*Agenda ya mkutano: hapa tutapaswa kuwasiliana zaidi. Mimi naona a) kufahamiana, b) kushauriana c) kujadiliana kama kuna njia ya kupanga mwelekeo wa kazi d) ikiwezakana kushirikisha wengine e) mimi ningependa nafasi ya kukutana na walimu wa shule penye intaneti, tupate feedback ni makala gani zinazoweza kuwasaidia wao na wanafunzi
*Muda wa mkutano: siku 2, siku 1, si zaidi ya 2 '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:4142, 3 Desemba 2014 (UTC)
Return to the project page "Wakabidhi".