Tofauti kati ya marekesbisho "Kulungu pembe-nne"

7 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
d
Boresha sarufi kidogo.
(Ukurasa mpya.)
 
d (Boresha sarufi kidogo.)
 
== Mwenendo ==
Palahala pembe-nne kwa kawaida ni wanyama wa upweke, ingawa mara chache wako katika makundi ya hadi wanne. Wao hupendelea kukaakaa, badala ya kuhamahama, na mara nyingi wakinga eneo lao kuwatimua wanyama wengine. Madume huweza kuwa wagomvi kwa madume wengine wakati wa misimu ya kupandisha. Wanyama wazima hufanya mlio wa kugutusha ulio na sauti kama "froank", na sauti tulivu zaidi nyingine kuwasiliana na watoto au wazima wengine. Wao huwasiliana pia kutumia harufu, wakiacha chungu za kinyesi katika eneo lao na kutia alama uoto kwa kutumia tezi za harufu zilizopo mbele ya macho yao.<ref name=Leslie2009/> Palahala pembe-nne hula majani laini, matunda na maua.
 
== Uzazi ==
477

edits