Kiumbehai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7239 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Elephant-ear-sponge.jpg|thumb|150px|Sifongo ya baharini ni mfano wa viumbehai katika kundi la eukariota]]
 
'''Kiumbehai''' ni kitu ambacho ni hai kama vile [[mtu]], [[mnyama]], [[mmea]] au [[bakteria]]. Kwa upande mmoja viumbehai ni [[molekuli]] za [[mata]] jinsi ilivyo kwa vitu vingine kwa mfano [[udongo]], [[mawe]], [[fuwele]] au [[hewa]]. Kwa upande mwingine mata hii ina mfumo mwenye tabia mbalimbali ammbazoambazo kwa pamoja zinaunda uhai kama vile uwezo wa kuzaa, kukua na umateboli (uwezo wa kujenga au kuvunja kemikali mwilini). Hata kama sayansi haijui kikamilifu uhai ni nini inatambua jumla ya tabia hizi kama dalili za uhai.
 
Kiumbehai inaweza kuwa na [[seli]] moja kama bakteria kadhaa au kuwa na seli mamilioni kama mwanadamu.