Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano:Kulungu pembe-nne"

Jibu
(→‎Palahala pembe-nne: mjadala mpya)
 
(Jibu)
 
Jambo Rberetta. Umepata jina hili wapi? Ni jina la ajabu, kwa sababu mnyama huyu hafanani na palahala wa kawaida. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 21:19, 5 Desemba 2014 (UTC)
:ChriKo salaam. Nilipata jina hili kwa kutafsiri jina la Kiingereza "Four-horned Antelope". Mnyama huyu siye mnyama wa Afrika, kwa hiyo nafikiri hakuna jina la Kiswahili litakalotambuliwa. Nilifikiri "palahala" ilikuwa tafsiri nzuri ya familia pana ya "antelope", lakini palahala si ya nusufamilia Bovinae. Jina la Kiingereza pia ni jina la ajabu kwa sababu sawa - "Four-horned antelope" ni "antelope" pekee katika Bovinae.
:Ukipendekeza jina tofauti, tafadhali niambie. Mimi sijui jina lolote katika nusufamilia Bovinae ambalo ni jina pana linalojumlisha spishi kadhaa kama "antelope". Paa au Swala ni majina mapana, lakini siyo ya Bovinae pia.
477

edits