Majadiliano:Kulungu pembe-nne : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ongeza jibu.
Mstari 6:
 
:Nilitafuta tena kwa google, na niliona makala haya: http://sw.swewe.net/word_show.htm/?123594_1&Pembe_swala. Makala hayo yanasema "swala pembe", "pembe swala", "swala pembe-nne", na majina mengine. Lakini siyo makala mazuri - nafikiri yalitafsiriwa kwa kompyuta. '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta|majadiliano]])''' 22:48, 6 Desemba 2014 (UTC)
::Bila shaka ninafahamu shida yako. Kwa sababu ya hiyo sipendi kuandika makala kuhusu wanyama wasiotokea Afrika. Lakini ukijaribu kufanya hii, tumia jina la kienyeji (kama [[Saola]]) au tafuta jina la Kiswahili la mnyama aliye na mnasaba na somo lako au anayefanana na huyu. Sasa, ufafanuzi wa "antelope" ni mnyama wo wote katika Bovidae ambaye siyo ng'ombe, nyati, baisani, mbuzi au kondoo. Kwa hivyo, "swala" lingefaa. Lakini ukisema kwamba "swala" ni kwa wanyama wanaofanana na "gazelle", kuna "antelopes" katika Bovinae pia. Ningependa "kulungu" kwa sababu mnyama huyu ni mdogo kiasi kama "four-horned antelope". Kila la heri! '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 00:09, 7 Desemba 2014 (UTC)
Return to "Kulungu pembe-nne" page.