Content deleted Content added
Jibu
→‎Kazi ya kufanya: mjadala mpya
Mstari 21:
Salaam naomba utazame hapa: [[Majadiliano_ya_Wikipedia:Wakabidhi#Mawasiliano_na_ofisi_ya_WMF_-_Wikimedia_Foundation_.2F_Asaf_Bartov]] na kuchangia. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:56, 3 Desemba 2014 (UTC)
:Kipala salaam. Hukukosea - niko mbali Marekani, na siwezi kuja Tanzania tena mwaka ujao. Lakini, ningependa kufuata vitendo vya mkutano - natumaini taarifa za mkutano zitachapishwa. Pia, labda nitakuwa na dhana ambayo mngependa kusikia. Je, nikikuandikia maelezo ya dhana yangu, labda utaweza kuizingatia, na kuitoa mkutanoni ukifikiri inastahiki? '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta#top|majadiliano]])''' 17:28, 3 Desemba 2014 (UTC)
 
== Kazi ya kufanya ==
 
Rberetta salaam. Tunafurahi sana kwamba umeanzisha kurasa kuhusu mamalia. Ni kweli, bado hakuna kurasa nyingi kuhusu wanyama wasiotokea Afrika. Lakini, isipokuwa wanyama wanaojulikana sana, nafikiri hiyo si kipaumbele. Ningependa unisaidie kumaliza kurasa kuhusu wanyama wa Afrika na kuandika nyingine mpya. Waafrika waelewe wanyama wao kwanza (siku hizi wengi hawajui majina kwa lugha zao wenyewe). Kwa sasa mimi ninashughulikia kurasa kuhusu arithropodi. Ukikubali nitakushukuru sana. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 15:24, 7 Desemba 2014 (UTC)