Kulungu pembe-nne : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza jamii
Badilisha jina la mnyama huyu kuwa "kulungu pembe-nne".
Mstari 1:
{{Uainishaji
| rangi = #D3D3A4
| jina = PalahalaKulungu pembe-nne
| picha = Four-horned_Antelope.JPG
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = PalahalaKulungu pembe-nne wa kiume<br><sup>(''Tetracerus quadricornis'')</sup>
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
Mstari 13:
| bingwa_wa_familia = [[John Edward Gray|J. E. Gray]], 1821
| nusufamilia = [[Bovinae]] <small>(Wanyama wanaofanana na ng'ombe)</small>
| jenasi = ''[[Tetracerus]]'' <small>(Wanyama kama palahalakulungu pembe-nne)</small>
| bingwa_wa_jenasi = [[William Elford Leach|Leach]], 1825
| spishi = ''[[PalahalaKulungu pembe-nne|T. quadricornis]]''
| bingwa_wa_spishi = ([[Henri Marie Ducrotay de Blainville|de Blainville]], 1816)
| subdivision = Nususpishi 3:
Mstari 23:
<!--
| ramani = Tetracerus quadricornis map.png
| maelezo_ya_ramani = Usambazaji wa palahalakulungu pembe-nne
-->
}}
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
 
'''PalahalaKulungu pembe-nne''' ni palahalamnyama mdogo wa [[spishi]] ''Tetracerus quadricornis'' katika [[Familia (biolojia)|familia]] Bovidae, anayeishianayefanana na [[kulungu]] na kuishi msituni wazi kwa [[Uhindi]] na [[Nepal]]. Huyo ndiye mnyama pekee katika jenasi ''Tetracerus''. Akiwa na kimo cha sm 55–64 tu mabegani, huyo ni mnyama mdogo kabisa katika familia Bovidae. Madume wa spishi hiyo ndio wa pekee miongoni mwa mamalia wote kwa kuwa wana pembe nne za kudumu.
 
== Maelezo ==
[[Picha:Vierhornantilope.jpg|thumb|left|PalahalaKulungu pembe-nne wa kike]]
 
PalahalaKulungu pembe-nne ni miongoni mwa wanyama wadogo zaidi wa familia bovidae wa Asia, akiwa na kimo cha sm 55–64 tu mabegani, na uzito wa kilo 17–22. Ana umbo dogo wenye miguu myembamba na mkia mfupi. Manyoya yake ni kahawia au kahawianyekundu, yakibadili kuwa meupe katika sehemu za ndani za miguu. Mchirizi mweusi wa nywele upo nje ya kila mguu, na ana maeneo meusi puani na sehemu za nyuma za masikio. Majike wana matiti manne, yaliyopo nyuma katika fumbatio.<ref name=Leslie2009/>
 
Kipengele cha mnyama huyo kisicho cha kawaida ni kuwepo kwa pembe nne; kipengele cha pekee miongoni mwa wanyama hai. Madume tu wana pembe, kwa kawaida wakiwa na pembe mbili kati ya masikio na mbili zaidi mbele yao pajini. Pembe za kwanza hutokea alipo na umri wa miezi michache tu, na za pili hutokea baada ya miezi 10 au 14. Pembe hizo haziambuliwi kamwe, ingawa labda zitadhuriwa wakati wa kupigana. Madume wazima wengine hawana pembe; hasa kwa nususpishi ''T. q. subquadricornis'' jozi ya pembe za mbele hazipo, au zipo kama nundu ndogo bila nywele. Jozi ya pembe za nyuma hufika urefu wa sm 7–10, huku jozi ya mbele ni kwa kawaida ndogo zaidi, sm 2–5 tu.<ref name=Leslie2009/>
 
== Usambazaji na makazi ==
[[Picha:Tetracerus quadricornis map.png|thumb|Usambazaji wa palahalakulungu pembe-nne]]
 
PalahalaKulungu pembe-nne wengi sana wa pori wapo [[Uhindi]], na makundi ya wanyama wachache yapo [[Nepal]]. Usambazaji wao huenea kusini ya tambarare ya [[Ganges|Gangetic]] mpaka jimbo la [[Tamil Nadu]], na mashariki mpaka [[Odisha]]. Wapo pia katika Hifadhi ya Taifa ya Msitu wa Gir, ya Uhindi ya magharibi.<ref name=iucn/><ref name=Leslie2009/>
 
PalahalaKulungu pembe-nne huishi katika makazi mbalimbali mahali kokote ndani ya usambazaji wao, lakini hupendelea misitu wazi,<ref name=Krishna2008/><ref name=Krishna2009/> mikavu, na ya kupukutika majani milimani. PalahalaKulungu pembe-nne hubaki katika maeneo yenye uoto mwingi wa manyasi marefu au vichaka vizito, na karibu na maji. Wao hukaa mbali na maeneo ya binadamu.<ref name=Leslie2009/> Wanyama wawawindao palahalakulungu pembe-nne ni pamoja na [[chui milia]],<ref name=Biswas2006/> [[chui]], na [[dhole]] (mbwa pori wa Uhindi).<ref name=Karanth1992/>
 
== Mwenendo ==
PalahalaKulungu pembe-nne kwa kawaida ni wanyama wa upweke, ingawa mara chache wako katika makundi ya hadi wanne. Wao hupendelea kukaakaa, badala ya kuhamahama, na mara nyingi wakinga eneo lao kuwatimua wanyama wengine. Madume huweza kuwa wagomvi kwa madume wengine wakati wa misimu ya kupandisha. Wanyama wazima hufanya mlio wa kugutusha ulio na sauti kama "froank", na sauti tulivu zaidi nyingine kuwasiliana na watoto au wazima wengine. Wao huwasiliana pia kutumia harufu, wakiacha chungu za kinyesi katika eneo lao na kutia alama uoto kwa kutumia tezi za harufu zilizopo mbele ya macho yao.<ref name=Leslie2009/> PalahalaKulungu pembe-nne hula majani laini, matunda na maua.
 
== Uzazi ==
[[Picha:ChousinghaHead.jpg|left|thumb|Kichawa cha palahalakulungu pembe-nne]]
Msimu wa kupandisha hudumu toka Mai mpaka Julai, na madume na majike kwa kawaida hubaki mbali kwa salio la mwaka. Mwenendo wao wa ubembe ni kuwa dume na jike kupiga magoti na kusukumana huku shingo zao kufungamana, yakifuatwa na dume kutamba. Kipindi cha kubeba mimba ni takribani miezi minane, halafu ndama mmoja au wawili huzaliwa. Wakati wa kuzaliwa, ndama wana urefu wa sm 42–46, na uzito wa kilo 0.74–1.1. Ndama hubaki pamoja na mama wao kwa mwaka moja, na huweza kuzaa wakiwa na umri wa miaka miwili.<ref name=Leslie2009/>
 
== Hifadhi ==
Kwa sababu anaishi katika sehemu ya dunia yenye idadi kubwa ya watu, palahalakulungu pembe-nne anawekwa hatarini na upungufu wa makazi yake unaosababishwa na haja ya ardhi ya ukulima. Pia, fuvu lake la kichwa lisilo la kawaida limetamaniwa na wawindaji. Idadi ya wanyama hao hai porini ni takribani 10,000, ingawa wengi wengine wanalindwa katika maeneo ya hifadhi.
 
== Hali ya sasa ==
 
PalahalaKulungu pembe-nne wameainishwa na IUCN kama spishi inayoweza kudhuriwa, kwa sababu maangamizi ya makazi.<ref name=iucn/>
 
== Marejeo ==