Kulungu pembe-nne : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Rberetta alihamisha ukurasa wa Palahala pembe-nne hadi Kulungu pembe-nne: Jamii wamekubali jina jipya ni bora.
Sahihisho
Mstari 28:
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
 
'''Kulungu pembe-nne''' ni mnyama mdogo wa [[spishi]] ''Tetracerus quadricornis'' katika [[Familia (biolojia)|familia]] Bovidae, anayefanana na [[kulungu]] na kuishi msituni wazi kwa [[Uhindi]] na [[Nepal]]. Huyo ndiye mnyama pekee katika jenasi ''Tetracerus''. Akiwa na kimo cha sm 55–64 tu mabegani, huyo ni mnyama mdogo kabisa katika familia Bovidae huko [[Asia]] ([[suni]] wa [[Afrika]] ni wadogo zaidi). Madume wa spishi hiyo ndio wa pekee miongoni mwa mamalia wote kwa kuwa wana pembe nne za kudumu.
 
== Maelezo ==