Content deleted Content added
Jibu
Mstari 29:
:<p>Kuhusa nia yangu, tafadhali nipe nafasi kueleza. Zingatia wanafunzi wanaovutiwa na biolojia. Labda wameona mfumo wa uainishaji wa kibiolojia, na wanastaajabu sana. Mimi ninasikitika kidogo kwamba hao wanafunzi watavumbua mti wa uainishaji (kwa Kiswahili tu), na wataona kwamba matawi mengi yapo matupu katika Wikipedia. Kwa hiyo, nia yangu ni kuanzisha ukurasa mmoja tu katika kila jenasi iliyo tupu sasa hivi. Najua tuna shida za kuchagua majina, na labda kuna wachache wanaojali kuhusu wanyama hawa, hasa ambao hawawezi kusoma lugha nyingine, lakini nina hamasa kuwasaidia hata wachache.</p>
:<p>Pia, nia yangu ni kuleta Vigezo vingine vya oda za mamalia ambavyo havijatafsiriwa bado, kama [[Kigezo:Carnivora]], na kufanya kawaida kurasa nyingi na kuboresha upangaji wao. Wewe na wengine wa jamii mmefanya kazi nyingi sana hapa, lakini vitu vingi vinahitaji uhariri, na nafikiri mimi ndiye mhariri mzuri kuliko mwandishi. '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta#top|majadiliano]])''' 19:58, 7 Desemba 2014 (UTC)</p>
::Salaam. Inaonekana kama sikueleza vizuri. Sikuulizi kumaliza au kuandika kurasa za arithropodi. Nitaendelea kazi hii. Tafadhali shughulikia kurasa za mamalia na ndege. Kuhusu kazi yako binafsi, andika kwanza kurasa za makundi makubwa (oda, familia za juu, familia, nusufamilia). Kufanya kila jenasi ni kazi kubwa mno. Kutengeneza vigezo vipya ni mpango mzuri. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 21:57, 7 Desemba 2014 (UTC)