Content deleted Content added
Jibu
Mstari 30:
:<p>Pia, nia yangu ni kuleta Vigezo vingine vya oda za mamalia ambavyo havijatafsiriwa bado, kama [[Kigezo:Carnivora]], na kufanya kawaida kurasa nyingi na kuboresha upangaji wao. Wewe na wengine wa jamii mmefanya kazi nyingi sana hapa, lakini vitu vingi vinahitaji uhariri, na nafikiri mimi ndiye mhariri mzuri kuliko mwandishi. '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta#top|majadiliano]])''' 19:58, 7 Desemba 2014 (UTC)</p>
::Salaam. Inaonekana kama sikueleza vizuri. Sikuulizi kumaliza au kuandika kurasa za arithropodi. Nitaendelea kazi hii. Tafadhali shughulikia kurasa za mamalia na ndege. Kuhusu kazi yako binafsi, andika kwanza kurasa za makundi makubwa (oda, familia za juu, familia, nusufamilia). Kufanya kila jenasi ni kazi kubwa mno. Kutengeneza vigezo vipya ni mpango mzuri. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 21:57, 7 Desemba 2014 (UTC)
:::Pole - sikusoma vizuri mara ya kwanza. Nitafanya kama ulivyouliza. Nitachagua kurasa za wanyama zilizo mbegu sasa, na zilizo na kurasa za Kiingereza zinazolingana nazo, na nitakuonyesha machaguo yangu kabla ya kuanza kazi. Shida ndogo ni kwamba ninahitaji kurasa za Kiingereza kutumia kama chanzo cha kutafsiri. Kurasa za oda au familia huandikwa kama makala ya kisayansi, kwa kawaida, na mimi siwezi kuzitafsiri vizuri. Kwa hiyo, nitachagua kurasa zilizo na kurasa rahisi za Kiingereza zinazolingana nazo. '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta#top|majadiliano]])''' 23:46, 7 Desemba 2014 (UTC)