Kitetun : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kitetun''' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Timor ya Mashariki inayozungumzwa na Watetun kwenye kisiwa ch...'
 
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Kitetun''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Indonesia]] na [[Timor ya Mashariki]] inayozungumzwa na [[Watetun]] kwenye kisiwa cha Timor. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kitetun nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 400,000. Pia kuna wasemaji 63,500 nchini Timor ya Mashariki (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitetun iko katika kundi la Kitimor-Babar.
 
==Viungo vya nje==