Umoja wa Kisovyeti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Union des Républiques Socialistes Soviétiques
Mstari 2:
[[Picha:Kolkhoznitsa.jpg|thumbnail|200px|Sanamu ya mfanyakazi wa kiwandani pamoja na mkulima wa kike mjini Moscow]]
 
'''Umoja wa Kisovyeti''' (kwa [[Kirusi]]: Советский Союз, tamka: ''sovjetskiiSovjetskii soyuzSoyuz'', kifupi cha: '''Umoja wa Jamhuri za Kisovyeti za Kijamii''') ilikuwa nchi kubwa duniani kati ya 1922 hadi 1991. Mara nyingi illitwa pia "'''Urusi'''" lakini ilijumlisha Urusi pamoja na maeneo mengine yaliyotwaliwa na Urusi katika mwendo wa historia kabla ya kutokea kwa Umoja wa Kisovyeti yaliyoendelea kuwa nchi huru baadaye.
 
Ilianzishwa katika [[Mapinduzi ya Urusi ya 1917]] ikachukua nafasi ya [[Milki ya Urusi]] ya awali. Umoja wa Kisovyeti ulitawaliwa na [[chama cha kikomunisti]]. Wakomunisti waliamua kutawala Dola la Urusi la awali kwa muundo wa [[shirikisho]] wakaunda jamhuri mbalimbali kufuatana na mataifa ndani ya eneo hili kubwa.