Lama (mnyama) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Rekebisha kiungo.
d Boresha sarufi kidogo.
Mstari 30:
[[Picha:Emmett and evie.JPG|thumb|left|Jika na ndama wake]]
 
Lama ndio wanyama wa kijamii sana, na huishi pamoja katika makundi. Sufu ya lama ni laini sana na haina [[lanolini]]. Lama wana akili na huweza kufundishwa kazi rahisi baada ya kuzirudia mara chache. Wakitumia tandiko la mzigo, wanaweza kubeba takribani 25%asilimia hadi 30%25–30 ya uzito wa mwili wao kwa kusafirisafari ya kilomitakm 8–13.<ref name="OK State"/>
 
Jina la lama lilitokea jina la Kingereza "llama", lililochukuliwa toka lugha ya wenyeji wa [[Peru]].<ref>Oxford English Dictionary, 2nd edition, "''llama''"</ref>