Kibanjar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kibanjar''' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabanjar kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2...'
 
d +mabano using AWB
Mstari 1:
'''Kibanjar''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Indonesia]] inayozungumzwa na [[Wabanjar]] kwenye kisiwa cha [[Kalimantan]]. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibanjar nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu milipni tatu na nusu. Pia kuna wasemaji 5000 nchini [[Malaysia]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanjar iko katika kundi la Kimalayiki.
 
==Viungo vya nje==