Tofauti kati ya marekesbisho "Mtumiaji:Rberetta/mpya"

1 byte removed ,  miaka 5 iliyopita
Kazi
(Kazi)
(Kazi)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
 
'''Alpaka''' ni mnyama wa kufugwa wa [[spishi]] ''Vicugna pacos'' katika [[Familia (biolojia)|familia]] Camelidae, anayeishi [[Amerika Kusini]]. Alpaka anafanana na [[Lama (mnyama)|lama]] mdogo, lakini apo katika jenasi tofauti. Kuna nususpishi mbili za alpaka; alpaka suri na alpaka huacaya.
 
== Maelezo ==
[[Picha:Alpaca headshot.jpg|thumb|left|Uso wa alpaka kwa karibu]]
 
Kwa kawaida, alpaka mzima ana kimo cha sm 81–99 mabegani, na uzito wa kilo 48–84.
Alpaka hutunzwa kwa makundi na hulishwa katika nyanda za juu za milima ya [[Andes]] katika upande wa kusini wa [[Peru]], kaskazini ya [[Bolivia]], [[Ekuador]], na kaskazini ya [[Chile]] at an altitude of 3,500 m to 5,000 m above sea level, throughout the year.[1] Alpacas are considerably smaller than llamas, and unlike llamas, they were not bred to be beasts of burden, but were bred specifically for their fiber. Alpaca fiber is used for making knitted and woven items, similar to wool. These items include blankets, sweaters, hats, gloves, scarves, a wide variety of textiles and ponchos in South America, and sweaters, socks, coats and bedding in other parts of the world. The fiber comes in more than 52 natural colors as classified in Peru, 12 as classified in Australia and 16 as classified in the United States.
 
Alpaka hutunzwa kwa makundi na hulishwa katika nyanda za juu za milima ya [[Andes]] katika upande wa kusini wa [[Peru]], kaskazini ya [[Bolivia]], [[Ekuador]], na kaskazini ya [[Chile]], ambako wanaishi mita 3,500–5,000 juu ya usawa wa bahari, mwaka wote.<ref name=harvest/> Alpaka ni wadogo kiasi kuliko lama, na tofauti na lama, hawakufugwa kuwa wanyama wa mizigo, badala yake walifugwa mahususi kwa ajili ya manyoya yao. Manyoya ya alpaka hutumiwa kutengeneza vitu vifumwavyo, mithili ya sufu. Vitu hivyo ni pamoja na mablanketi, sweta, kofia, glavu na nguo nyingine katika Amerika Kusini, na sweta, soksi, koti na matandiko katika sehemu nyingine duniani. Fumwele za manyoya yao zinapatikana katika zaidi ya rangi 52, kama zinavyoainishwa Peru.
In the textile industry, "alpaca" primarily refers to the hair of Peruvian alpacas, but more broadly it refers to a style of fabric originally made from alpaca hair, but now often made from similar fibers, such as mohair, Icelandic sheep wool, or even high-quality English wool.[citation needed] In trade, distinctions are made between alpacas and the several styles of mohair and luster.
 
Katika biashara ya vitambaa, maana ya msingi ya "alpaca" ni nywele za alpaka wa Peru, lakini kwa upana zaidi inamaanisha mtindo wa vitambaa vilivyotengenezwa kwa asili kwa nywele za alpaka, ambavyo sasa vinatengenezwa mara nyingi kwa fumwele zinazofanana nazo, kama sufu za ubora sana.
An adult alpaca generally is between 81 and 99 cm in height at the withers. They usually weigh between 48 and 84 kg (106 and 185 lbs).
 
== Marejeo ==
{{reflist|refs=
<ref name=harvest>{{cite web|url = http://www.fao.org/docrep/v9384e/v9384e05.htm#1.4.3 |title=Harvesting of textile animal fibres|publisher = UN Food and Agriculture Organization}}</ref>
}}
 
477

edits