Kilawangan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kilawangan''' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walawangan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka...'
 
d +mabano using AWB
Mstari 1:
'''Kilawangan''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Indonesia]] inayozungumzwa na [[Walawangan]] kwenye kisiwa cha [[Kalimantan]]. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kilawangan imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilawangan iko katika kundi la Kibarito.
 
==Viungo vya nje==