Tofauti kati ya marekesbisho "Mtumiaji:Rberetta/mpya"

32 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
Kazi
(Kazi)
(Kazi)
 
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
 
'''Alpaka''' ni mnyama wa kufugwa wa [[spishi]] ''Vicugna pacos'' katika [[Familia (biolojia)|familia]] Camelidae, anayeishi [[Amerika Kusini]]. Alpaka anafanana na [[Lama (mnyama)|lama]] mdogo, lakini apoameainishwa katika jenasi tofauti. Kuna nususpishi mbili za alpaka; alpaka suri na alpaka huacaya.
 
== Maelezo ==
Alpaka hutunzwa kwa makundi na hulishwa katika nyanda za juu za milima ya [[Andes]] katika upande wa kusini wa [[Peru]], kaskazini ya [[Bolivia]], [[Ekuador]], na kaskazini ya [[Chile]], ambako wanaishi mita 3,500–5,000 juu ya usawa wa bahari, mwaka wote.<ref name=harvest/> Alpaka ni wadogo kiasi kuliko lama, na tofauti na lama, hawakufugwa kuwa wanyama wa mizigo, badala yake walifugwa mahususi kwa ajili ya manyoya yao. Manyoya ya alpaka hutumiwa kutengeneza vitu vifumwavyo, mithili ya sufu. Vitu hivyo ni pamoja na mablanketi, sweta, kofia, glavu na nguo nyingine katika Amerika Kusini, na sweta, soksi, koti na matandiko katika sehemu nyingine duniani. Fumwele za manyoya yao zinapatikana katika zaidi ya rangi 52, kama zinavyoainishwa Peru.
 
Katika biashara ya vitambaa, maana ya msingi ya "alpaca" ni nywele za alpaka wa Peru, lakini, kwa upana zaidi, "alpaca" inamaanisha mtindo wa vitambaa vilivyotengenezwa kwaawali asili kwakutoka nywele za alpaka, ambavyo sasa vinatengenezwa mara nyingi kwa fumwele zinazofanana nazona nywele za alpaka, kama sufu za ubora sana.
 
== Marejeo ==
477

edits