Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 73:
 
::Asante kwa utayari wa kuja Morogoro na kukutana na walimu wetu, si tu kwa kuuliza wanahitaji nini, bali pia kwa kuwahamasisha wachangie: wapo 40 hivi. Ila sipendi kulazimisha. Toka Dar kuna ndege pia kila siku kwenda na kurudi. Mkiamua, naweza kupeleleza bei. Kuhusu siku, napendelea pendekezo la Baba Tabita: Ijumaa jioni na Jumamosi nzima. Nakubali agenda za Kipala. Amani kwa wote! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 12:49, 7 Desemba 2014 (UTC)
 
:::Sawa. Nami nitakuwepo (ila ombi langu nimechoka kupanda mabasi kuja Arusha - safari hii na mimi nataka niondoe nuksi kidogo nipande ndege gharama yake kwa FastJet haizidi 150,000 au 200,000 TSH kwa kwenda na kurudi. Kuhusu mada, naziunga mkono hoja za Kipala. Na nipo tayari kufanya lolote kuzifanikisha! Wenu, Muddyb, au--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 08:52, 13 Desemba 2014 (UTC)
Return to the project page "Wakabidhi".