Sukulenti : Tofauti kati ya masahihisho

6 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
Tafsiri ya Aloe vera
(link)
(Tafsiri ya Aloe vera)
[[Picha:Split Aloe.jpg|300px|thumbnail|Jani la [[Aloe veramshubirimani]] lililokatwa; utomvu unatoka nje]]
'''Sukulenti''' ([[lat.]] ''sucus'' = utomvu; [[ing.]] ''succulents'') au '''Mimea wenye utomvu mwingi''' ni [[mimea]] iliyojitohoa kwa maisha katika mazingira [[Tabianchi#B:_Tabianchi_yabisi_au_nusuyabisi|yabisi]].
 
Pia kuna tofauti kati ya watalaamu eti ni nini inayostahili kuitwa sukulenti. Wengi wanaangalia majani na mashina pekee lakini kuna wengine wanaoingiza mle pia mizizi inayotunza maji lakini wengine hawakubali.
 
Mifano ya sukulenti iliyokubalika na pande zote ni [[mbuyu]], [[mkonge]], [[aloe veramshubirimani]] na aina za [[mpungate]].
 
 
12,099

edits