Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 76:
:::Sawa. Nami nitakuwepo (ila ombi langu nimechoka kupanda mabasi kuja Arusha - safari hii na mimi nataka niondoe nuksi kidogo nipande ndege gharama yake kwa FastJet haizidi 150,000 au 200,000 TSH kwa kwenda na kurudi. Kuhusu mada, naziunga mkono hoja za Kipala. Na nipo tayari kufanya lolote kuzifanikisha! Wenu, Muddyb, au--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 08:52, 13 Desemba 2014 (UTC)
::::WMF ikigharamia safari zetu, sijali mahali ambapo mkutano utafanyika, kwa hivyo Morogoro ingekuwa sawa kwangu. Je, watauliza kuona risiti zetu? Ninauliza kwa sababu labda nitakuja kwa gari yangu. Endapo nitafanya hiyo, ningependa kutumia pesa ya tikiti ya ndege ili kununua mafuta. Na tutalala wapi huko Morogoro? '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 19:14, 14 Desemba 2014 (UTC)
:::::Wapendwa kwa bahati mbaya niligonjeka kidogo lakini niko tena. Haya kwa hiyo mkadirio wangu Ndege Nairobi-Dar 350 €, HAlafu Dar-Moro je ita kuwa ni basi (gharama gani??). Au kama ndege ziko - je ratiba gani`? Halafu Malalo huko Moro - je Riccardo unaweza kupendekeza nini? Mimi nalala kila mahala. Ila tu nahitaji kuleta makadirio. Ndimi wenu '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 14:42, 21 Desemba 2014 (UTC)
Return to the project page "Wakabidhi".