Émile Durkheim : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 69 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q15948 (translate me)
d +kiungo
Mstari 1:
[[Picha:Emile Durkheim.jpg|thumb||Emile Durkheim]]
'''Émile Durkheim''' ([[15 Aprili]] [[1858]] – [[15 Novemba]] [[1917]]) alikuwa mtaalamu kutoka nchini Ufaransa aliyeweka misingi ya [[sosiolojia]] au [[sayansi ya jamii]].
 
Durkheim alizaliwa kama mtoto wa mwalimu wa Kiyahudi katika jimbo la [[Lorraine]]. Alisomakwenye chuo cha [[École Normale Supérieure]]. Aliingia katika utumishi wa serikali na tangu 1902 alikuwa [[profesa]] wa ualimu kwenye chuo kikuu cha [[Sorbonne]]. Kutokana na kazi zake taasisi yake ilibadilishwa kuwa taasisi ya kwanza ya sayansi ya jamii duniani.