Wahaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wahaya''' ni kabila linalopatikana katika [[Mkoa wa Kagera]], Kaskazini Magharibi mwa [[Tanzania]], kandokando ya [[Ziwa Victoria]]. Lugha yao ni [[Kihaya]].
 
Kabila hilo ndilo kubwalinalojulikana kuliko yote ya mkoa wa Kagera, ila ndani yake kuna vijikabila vidogovidogo, kama vile Waziba wa [[Kiziba]], Wahamba wa [[Muhutwe]], Wayoza na waendangabo wa [[Bugabo]], Wanyaiyangilo wa [[Muleba]], Wasubi wa [[Biharamulo]], Wanyambo wa [[Karagwe]] nk.
mfano:- (Kiswahili=Viazi vitamu) = (Kiziba= ebitakuli) = (Kihamba, Kiyoza na Kinyaihangilo = enfuma)