Medici : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
[[Picha:Cosimodemedicitheolder.jpg|thumb|250px|Cosimo di Medici (1389-1464)) mtawala wa Firenze]]
'''Medici''' ni jina la [[familia]] ya [[Firenze]] katika [[Italia]] ya Kati iliyokuwa muhimu
Ma[[papa]] watatu wa [[Kanisa Katoliki]] walikuwa wa [[ukoo]] huo, pamoja na watawala mbalimbali za [[mji]] wa Firenze; watoto wao walioa au kuolewa katika familia za wafalme wa [[Ulaya]].
Walijenga utajiri katika biashara ya kitambaa wakaendelea kuunda benki kadhaa zilizokuwa aina mpoya ya biashara wakati ule. Uwezo wao wa kiuchumi walitumia baadaye kisiasa.▼
▲Walijenga [[utajiri]] katika [[biashara]] ya [[kitambaa]] wakaendelea kuunda [[benki]] kadhaa zilizokuwa aina mpoya ya biashara wakati ule. [[Uwezo]] wao wa kiuchumi
Watawala na mapapa Wamedici waliajiri wasanii wengi na kugharamaia pia wataalamu hivyo wakajenga kipindi cha utamaduni wa juu cha Italia kilichong'aa kote [[Ulaya]].▼
▲Watawala na
==
* [[Salvestro de' Medici]] ([[1331]] – [[1388]]) alikuwa wa kwanza wa familia aliyetawala Firenze hadi [[1382]]
* [[Giovanni di Bicci de' Medici]] ([[1360]] – [[1429]]) aliongeza utajiri wa [[nyumba]] hadi kuwa familia tajiri ya Ulaya
* [[Cosimo de' Medici|Cosimo Mzee]] ([[1389]] – [[1464]]) alianzisha mfululizo wa watawala
* [[Lorenzo de' Medici]] ([[1449]] – [[1492]]) [[mtawala]] wa Firenze aliyetumia [[pesa]] nyingi kwa [[sanaa]]
* Giovanni de' Medici ([[1475]] – [[1523]])
* Giulio de' Medici ([[1478]] – [[1534]])
* [[Cosimo I de' Medici]] ([[1519]] – [[1574]]) aliendelea kuwa mtemi wa [[
* [[Catherine de' Medici]] (1519 – [[1589]]),
* Alessandro Ottaviano de' Medici ([[1535]] – [[1605]])
* [[Marie de' Medici]] ([[1575]] – [[1642]])
* [[Anna Maria Luisa de' Medici]] ([[1667]] – [[1743]]) alikuwa
== Viungo vya Nje ==
Line 28 ⟶ 30:
* [http://www.paradoxplace.com/Perspectives/Italian%20Images/Montages/Firenze/Medici%201.htm Adrian Fletcher’s Paradoxplace – 3 pages of Medici portraits and history]
* [http://www.medici.org Medici Archive Project]
{{mbegu-mtu}}
[[Jamii:Watu wa Italia]]
[[Jamii:Wanasiasa]]
|