Oreste Baratieri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 10 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q733360 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Oreste baratieri.JPG|thumb|right|Oreste Baratieri]]
'''Oreste Baratieri''' ([[13 Novemba]] [[1841]] – [[7 Agosti]] [[1901]]) alikuwa [[jenerali]] katika [[jeshi]] la [[Italia]] na [[gavana]] wa [[koloni]] yala [[Eritrea]] aliyeongoza Waitalia katika [[mapigano ya Adowa]] waliposhindwa vibaya na [[Ethiopia]].
 
==Maisha==
Baratieri alikuwa mwenyeji wa jimbo la [[Tirol]] upande wa kaskazini wa Italia. Alishiriki katika mapigano ya vita ya maungano ya Italia chini ya [[Guiseppe Garibaldi]] miaka ya [[1860]] na [[1861]].
Baratieri alikuwa mwenyeji wa jimbo la [[Tirol]], sehemu ya [[Dola la Austria]], leo upande wa kaskazini wa Italia.
 
Baratieri alikuwa mwenyeji wa jimbo la [[Tirol]] upande wa kaskazini wa Italia. Alishiriki katika mapigano ya vita ya maungano ya Italia chini ya [[GuiseppeGiuseppe Garibaldi]] miaka ya [[1860]] na [[1861]].
1891 alipewa cheo cha jenerali na kuwa mkuu wa jeshi la Italia katika Eritrea. 1892 alikuwa pia gavana. Baratieri aliongoza wanajeshi wake katika ushindi wa mapigano mbalimbali dhidi ya vikosi vya watemi na makabila ya Ethiopia.
 
Mwaka [[1891]] alipewa [[cheo]] cha jenerali na kuwa [[mkuu wa jeshi]] la Italia katika Eritrea. Mwaka [[1892]] alipata kuwa pia gavana.
1895 alipokea amri za serikali yake ya kushambulia Ethiopia baada ya [[Negus]] [[Menelik II]] alikana [[mkataba wa Wuchale]]. Baratieri alitembelea Italia na kuwahutubia wananchi akiwaahidi atamleta Menelik kama mfungwa.
 
1891 alipewa cheo cha jenerali na kuwa mkuu wa jeshi la Italia katika Eritrea. 1892 alikuwa pia gavana. Baratieri aliongoza wanajeshi wake katika [[ushindi]] wa mapigano mbalimbali dhidi ya vikosi vya watemi na makabilama[[kabila]] ya Ethiopia.
Oktoba 1895 Baratieri alivuka mto Mareb na kuingia Ethiopia. Baada ya mapigano ya kwanza alijifunza kuhusu jeshi kubwa la Menelik akaamua kusubiri hadi akiba za chakula cha Waethiopia ziishe. Lakini serikali ya waziri mkuu Crispi alitaka kutangaza ushindi ikamwamuru Baratieri ashambulie mara moja.
 
Mwaka [[1895]] alipokea [[amri]] za [[serikali]] yake ya kushambulia Ethiopia baada ya [[Negus]] [[Menelik II]] alikanakukana [[mkataba wa Wuchale]]. Baratieri alitembelea Italia na kuwahutubia wananchi akiwaahidi atamleta Menelik kama mfungwa.
Shindikizo hili lilisababisha mapigano ya Adowa ambako wanajeshi 17,000 Waitalia na Waeritrea walipigwa vibaya na jeshi la Menelik lenye wanajeshi kati 80,000 hadi 100,000. Waitalia walipoteza wanajeshi 10,000 waliokufa au kutekwa wafungwa na adui pamoja na mizinga yote na bunduki 11,000. Wengine waliweza kukimbia na kujiokoa kwenda Eritrea.
 
Hapo Baratieri alitembelea Italia na kuwahutubia wananchi akiwaahidia atamleta Menelik kama mfungwa.
Baratieri aliweza kujiokoa lakini alisimamishwa mbele ya mahakama ya kijeshi iliyoona ya kwamba alifanya makosa lakini hana hatia. Mwaka 1897 alijiondoa madarakani na kuchukua pensheni yake. Aliishi katika Tirol ya Kiaustria alipoaga dunia tarehe 7 Agosti [[1901]] mjini Sterzing-Vipiteno.
 
Mnamo Oktoba 1895 Baratieri alivuka [[mto Mareb]] na kuingia Ethiopia. Baada ya mapigano ya kwanza alijifunza kuhusu jeshi kubwa la Menelik, akaamua kusubiri hadi [[akiba]] za [[chakula]] cha Waethiopia ziishe. Lakini serikali ya [[waziri mkuu]] [[Crispi]] alitaka kutangaza mapema ushindi, ikamwamuru Baratieri ashambulie mara moja.
 
ShindikizoShinikizo hilihilo lilisababisha mapigano ya Adowa ambako wanajeshi 17,000 Waitalia na Waeritrea walipigwa vibaya na jeshi la Menelik, lenye wanajeshi kati 80,000 hadi 100,000. Waitalia walipoteza wanajeshi 10,000 waliokufa au kutekwa wafungwa na [[adui]], pamoja na mizinga yote na [[bunduki]] 11,000. Wengine waliweza kukimbia na kujiokoa kwenda Eritrea.
 
Baratieri aliweza kujiokoa lakini alisimamishwa mbele ya [[mahakama ya kijeshi]] iliyoona ya kwamba alifanya makosa lakini hana hatia. Mwaka [[1897]] alijiondoa madarakani[[madaraka]]ni na kuchukua pensheni yake. Aliishi katika Tirol ya Kiaustria alipoaga dunia tarehe 7 Agosti [[1901pensheni]] mjini Sterzing-Vipitenoyake.
 
Aliishi katika Tirol ya Kiaustria alipoaga dunia tarehe 7 Agosti [[1901]] mjini [[Sterzing]]-[[Vipiteno]].
 
{{DEFAULTSORT:Baratieri, Oreste}}