Mdudu Siku-moja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Uainishaji | rangi = pink | jina = Mdudu siku-moja | picha = Ephemera danica.jpg | upana_wa_picha = 250px | maelezo_ya_picha = Mdudu siku-moja (''Ephemera dan...'
 
dNo edit summary
Mstari 20:
* [[Pisciformia]]
}}
'''Wadudu siku-moja''' ni [[wadudu]] wa [[oda]] [[Ephemeroptera]] katika [[nusungeli]] [[Pterygota]] (wenye mabawa). [[Wadudu]] hawa huishi majini baridi katika muundo wa [[nayadi]] ([[lava]] ya wadudu siku-mojawa maji) kwa muda wa [[mwaka]] mmoja, halafu hutoka kwenye maji na kuambua mara mbili na kuwa mdudu aliyekomaa wenye [[bawa|mabawa]]. Licha ya jina lao wadudu waliokomaa huishi muda wa nusu saa hadi siku kadhaa. Wanajamiiana tu na kutaga [[yai|mayai]]; hawali na kwa hiyo wana alama za vipande vya [[mdomo]] tu na [[utumbo]] umejaa na hewa. Kinyume na wadudu waliokomaa nayadi hula [[kiani|viani]] na [[diatomea]], na spishi kadhaa hula lava za wadudu wengine wa maji.
 
==Picha==