Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 78:
:::::Wapendwa kwa bahati mbaya niligonjeka kidogo lakini niko tena. Haya kwa hiyo mkadirio wangu Ndege Nairobi-Dar 350 €, HAlafu Dar-Moro je ita kuwa ni basi (gharama gani??). Au kama ndege ziko - je ratiba gani`? Halafu Malalo huko Moro - je Riccardo unaweza kupendekeza nini? Mimi nalala kila mahala. Ila tu nahitaji kuleta makadirio. Ndimi wenu '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 14:42, 21 Desemba 2014 (UTC)
::::::Kwanza pole kwa kugonjeka (kweli uliishi Kenya!) na hongera kwa kupona. Kwa basi, Dar-Moro ni Tsh. 7,000. Kuhusu ndege, lazima niulize vizuri ratiba na gharama. Upande wa kulala, mazingira yetu wenyewe hayafai kupokea wageni, labda hata kama ni mashujaa kama Kipala! Lakini hoteli jirani ziko nyingi, na bei zake hutofautiana kadiri ya nyota zake... Ni kuchagua tu! Kwa sasa heri za Krismasi! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 09:37, 23 Desemba 2014 (UTC)
::Asante kwa ushauri woote! Sasa naomba lete pendekezo na namba. Binafsi sijali nyota sana pia sina picha siku hizi nyota ina maana gani TZ. Mende wachache (au bila - ikiwezekana), usafi kiasi, vyumba vilivyoona rangi mpya karne hii... Mimi nahitaji kiasi fulani ninayoweza kutaja, je unaweza kuulizia? Nitashukuru!! [[Maalum:Michango/31.2.230.122|31.2.230.122]] 08:14, 31 Desemba 2014 (UTC)
Return to the project page "Wakabidhi".