Utitiri (Arithropodi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza matini
Sahihisho
Mstari 24:
** Oda [[Mesostigmata]]
}}
Kwa asili jina '''utitiri''' hutumika kwa aina za [[mdudu|wadudu]] wadogo wa [[kuku]] ambao wana mnasaba na [[kupe]] na [[chawapapasi]]. Lakini kwa sababu hakuna jina la jumla la Kiswahili kwa kundi la [[Acari]] “utitiri” hutumika zaidi na zaidi kwa [[spishi]] nyingine za Acari. Kwa asili pia neno hili lilikuwa nomino isiyoweza kuhesabiwa, kama [[sukari]] kwa mfano, lakini watu wengine wameanza kulichukulia kama neno katika umoja na "matitiri" kama wingi. Utitiri ni [[nusungeli]] katika [[ngeli]] ya [[Arakinida|Arachnida]]. Kwa hivyo wana miguu minane kama [[buibui]] na [[nge]].
 
Utitiri ni [[arithropodi]] wadogo. Spishi kubwa kabisa zina mm 10-20, lakini takriban spishi zote ni ndogo au ndogo sana: spishi ndogo kabisa ina mm 0.05. Utitiri ni tele katika udongo ambapo husaidia kumeng'enya dutu ya [[kiumbehai|viumbehai]]. Lakini spishi zinazojulikana zaidi ni [[kidusia|vidusia]] vya nje vya [[mnyama|wanyama]] na [[mmea|mimea]]. Mifano ya vidusia ni [[kupe]], [[papasi]], [[funduku]] na [[utitiri mwekundu]].