18
edits
[[Picha:Hubble2005-01-barred-spiral-galaxy-NGC1300.jpg|thumb|250px|Galaksi yetu jinsi inaaminiwa kuonekana vile kama tunaiangalia kutoka juu; picha ya galaksi ya mbali yenye mikono miwili ya parafujo]]
'''Njia nyeupe''', pia '''majarra''' au "mkokoto wa kondoo za Sumaili" <ref>yaani njia ya kondoo wa Ismaili; kuhusu majina ya nyota na sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina asilia linganisha Jan Knappert, Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> ni jina
Hali halisi hii ni jinsi tunavyoona [[galaksi]] yetu ambamo [[jua]] letu na [[mfumo wa jua|mfumo wake]] ni sehemu yake.
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Umbo lake unafanana na kisahani chense umbo la parafujo. [[Kipenyo]] cha kisahani hiki ni [[miaka ya nuru]] 100,000 ikiwa na unene wa miaka ya nuru 3,000. Galaksi ya jirani iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda]] na ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5 .
== Kuonekana kwa Njia Nyeupe kutoka duniani ==
[[Nyota]] karibu
Nyota zilizo nyingi za Njia Nyeupe hatuwezi kuziona wala kubainisha kwa hiyo zinatokea machoni kama ukungu mweupe tu.
|
edits