Bara la Antaktiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 4:
'''Antaktiki''' ni [[bara]] kwenye [[ncha ya kusini]] ya [[dunia]]. Kwa sababu ya [[baridi]] kali katika bara hii, ni bara ya pekee ambapo hawaishi [[binadamu]] wowote isipokuwa kuna wanasayansi wanaokaa kwa muda katika vituo vyao. Jina "Antaktiki" latokana na lugha ya Kigiriki likimaanisha "kinyume cha Aktiki" na [[Aktiki]] ni eneo karibu na [[ncha ya kaskazini]].
 
Takriban 98% za eneo la bara lafunikwa na theluji na barafu. Bara liko kati ya bahari za [[Pasifiki]], [[Atlantiki]] na [[Bahari Hindi]]. Eneo lake ni kubwa kushinda Ulaya lakini hakuna mti hata mmoja. Bara hili linajulikana kama [[jangwa]]
 
Kuna [[volkeno]] hai moja inayotema moto barani ni mlima wa [[Mount Erebus]].