Kiinakeanon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kiinakeanon''' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wainakeanon. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji w...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kiinakeanon''' (pia '''Kiaklanon''') ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Ufilipino]] inayozungumzwa na [[Wainakeanon]]. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiinakeanon nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu 435,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiinakeanon iko katika kundi la Kifilipino. Wengine huangalia lugha ya [[Kimalaynon]] kuwa lahaja ya Kiaklanon.
 
==Viungo vya nje==