Kitagalog : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kitagalog''' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Watagalog. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Ki...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitagalog''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Ufilipino]] inayozungumzwa na [[Watagalog]]. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitagalog nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu milioni 21.5. Pia, kuna wasemaji 1,444,000 nchini [[Marekani]] (2010) na 384,000 nchini [[Kanada]] (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitagalog iko katika kundi la Kifilipino.
 
==Viungo vya nje==
Mstari 10:
{{DEFAULTSORT:Tagalog}}
[[Jamii:Lugha za Ufilipino]]
[[Jamii:Lugha za Marekani]]
[[Jamii:Lugha za Kanada]]