Injini ya mwako ndani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'File:4-Stroke-Engine.gif|thumb|right|Mwendo wa injini ya mwako ndani ya mapigo manne. '''Pigo 1''': pistoni inarudi nyuma na kuongeza nafasi katika silinda, h...'
 
Mstari 8:
Kila injini ya mwako ndani inafuata hatua mbalimbali zinazorudiarudia. Kuna hasa mfumo wa mapigo mawili na mapigo manne, na injini nyingi ya magari ni ya mapigo manne.
 
Kila ininiinjini huwa na silinda ambayo ni chumba cha kuchoma fueli. Kuna injini za silinda 1, mara nyingi 4 au pia zaidi. Kuchoma kwa fueli kunazalisha gesi inayopanuka na kuleta shinikizo kubwa. Ndani ya silinda kuna pistoni inayosukumwa kwa nguvu ya gesi inayaotokea kutokana na kuchomwa kwa fueli. Mwendo wa pistoni inapelekwa kwa mtaimbo wa injini.
Injini ya mwako ndani inahitaji nafasi ya kuingiza fueli na hewa pamoja na uwezo wa kutoa gesi iliyozalishwa wakati wa mwako wa fueli.
 
Fueli inaingizwa katika silinda kwa umbo la matone madogo na hii inafanywa kwa kuipitisha katika nozeli yaani shimo ndogo sana. Pampu ya injekta inapima kiwango cha petroli kinachotakiwa. Matone madogo ya fueli yanachanganywa na hewa na mchaganyiko huu unawaka. KunaKwa namnanjia mbilinyingine zakuna kuwashapia mchanganyikoinjini waambako hewafueli na fuelihewa marazinachanganywa nyinginje kunaya injini katika [[plagikabureta]] inayotoa cheche ya moto na njiamchanganyiko nyingineulio inayotumiwatayari katika injini za diseli ni kuongeza shinizonavutwa ndani ya silinda na kukandamiza mchanganyiko wa fueli na hewa hadi halijoto yake inapanda kutosha kwa kuwaka yenyeweinapowaka.
 
Kuna namna mbili za kuwasha mchanganyiko wa hewa na fueli mara nyingi kuna [[plagi]] inayotoa cheche ya moto wakati mchanganyiko wa fueli na hewa imeshakandamizwa. Njia nyingine inayotumiwa katika injini za diseli ni kuongeza shinikizo ndani ya silinda na kukandamiza hewa ndai ya silinda sana hadi hewa hii imekuwa joto sana na sasa matone ya diseli zinapulizwa na kuwaka kutokana na joto la hewa.
Wakati wa kuwaka fueli pamoja na oksijeni ya hewa zinaunda gesi inayopanuka haraka. Nguvu hii inasukuma dhidi ya pistoni inayorudishwa; ilhali imeunganishwa na mtaimbo wa injini inasukuma mtaimbo na hivyo kuzungusha injini yote.
 
Wakati wa kuwaka fueli pamoja na [[oksijeni]] ya hewa zinaunda gesi inayopanuka haraka. Nguvu hii inasukuma dhidi ya pistoni inayorudishwa nyuma; ilhali imeunganishwa na mtaimbo wa injini inasukuma mtaimbo na hivyo kuzungusha injini yote.
Mwendo wa injini inaendelea kusukuma pistoni tena katika hali ya awali ambako inapuliza gesi za mwako nje.
 
Mwendo wa injini inaendelea kusukuma pistoni tena katika hali ya awali ambako inapuliza gesi za mwako nje. kupitia valvu ya kutoka.
 
Injini ya mwako ndani inazungushwa na pistoni zake na idadi ya mizunguko inafikia mara 1000 hadi 8000 kila dakika. Maana kila pistoni inasogea mbele na nyuma mara alfu nyingi ila dakika. Hapo ni muhimu ya kwamba msuguano kati ya sehemu zake inapunguzwa kiasi jinsi kinavyowezekana na kazi hii inatekelezwa na mafuta ya injini inayosaidia kutelezesha vipande vyote vyenye mwendo. Kila injini ya mwako ndani huwa na nafasi kwa ajili ya mafuta ya kutelezesha vipande vyake.
 
Vilevile ni muhimu ya kwamba vipande vyote vinaingiana vema na visiwe na nafasi kubwa ya kucheza. Hapo ni muhimu ya kwmaba vipimo vya vipuri vyote vinafaa na kulingana hadi sehemu ya 100 ya milimita.
 
Vilevile ni muhimu ya kwamba joto la injini linapunguzwa. Maana ndani ya injini moto inawaka muda wote na kuathiri metali ya injini yenyewe. Hapo injini uwa na mfumo wa kupoza injini na mara nyingi kazi hii inatekelezwa kwa kuzungusha maji katika injini inayopita sehemu penye joto kubwa; maji hupokea sehemu ya joto na kuibeba nje ya injini yenyewe hadi sehemu ya [[rejeta]] yanapopozwa kwa kukutana na hewa kutoka nje ya gari.