Kitabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Latin dictionary.jpg|thumb|250px|Vitabu]]
'''Kitabu''' (kutoka [[Kar.Kiarabu]] '''كتاب''', ''kitabun'') ni mkusanyo wa kurasa zilizofungwa pamoja kwa njia ya kudumu. Siku hizi kitabu kimekuwa hasa mkusanyo wa kurasa za [[karatasi]] zilizochapishwa. [[UNESCO]] imetoa elezo kuwa kitabu ni tangazo kwa umma lililochapishwa lenye kurasa zisizopungua 49.
 
[[UNESCO]] imetoa elezo kuwa kitabu ni tangazo kwa [[umma]] lililochapishwa lenye kurasa zisizopungua 49.
Lakini kuna pia vitabu vyenye kurasa tupu vitakavyoandikiwa kwa [[mkono]]. Hadi [[karne ya 15]] [[BK]] vitabu vyote viliandikwa kwa mkono kwa kutumia [[kalamu]] na kwa sababu hii vilikuwa vichache na bei ilikuwa juu. [[Johannes Gutenberg]] alibuni mashine ya kuchapisha vitabu iliyofaulu na kurahisisha vitabu sana.
 
Lakini kuna pia vitabu vyenye kurasa tupu vitakavyoandikwa kwa [[mkono]].
Siku hizi vitabu hutolewa pia kwa njia ya [[mtandao]] au [[CD]] kama vitabu pepe.
 
Lakini kuna pia vitabu vyenye kurasa tupu vitakavyoandikiwa kwa [[mkono]]. Hadi [[karne ya 15]] [[BK]] vitabu vyote viliandikwa kwa mkono kwa kutumia [[kalamu]] na; kwa sababu hii vilikuwa vichache na [[bei]] ilikuwa juu. [[Johannes Gutenberg]] alibuni [[mashine]] ya kuchapisha vitabu iliyofauluiliyofanikiwa na kurahisisha vitabu sana.
Kitabu kilichochapishwa mara nyingi duniani ni [[Biblia ya Kikristo]] imetolewa kwa nakala bilioni 5-6.
 
Siku hizi vitabu hutolewa pia kwa njia ya [[mtandao]] au [[CD]] kama [[vitabu pepe]].
 
Kitabu kilichochapishwa mara nyingi zaidi duniani ni [[Biblia ya Kikristo]]: imetolewa kwakatika [[nakala]] [[bilioni]] 5-6 hivi.
 
== Viungo vya Nje ==
Line 12 ⟶ 16:
* [http://books.google.com Google Book Search (Beta)]
 
{{mbegu-kitabu}}
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:KitabuVitabu]]
[[Jamii:Fasihi| ]]
 
{{Link FA|la}}
MWANAMALUNDI MTU MAARUFU KATIKA HISTORIA YA USUKUMA.
KITABU