Mzungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d The file Image:Europaeid_types.jpg has been removed, as it has been deleted by commons:User:Fastily: ''Copyright violation: see here, per URAA, pro...
No edit summary
Mstari 2:
[[image:Waingereza Weusi.PNG|thumb|350px|'''Wote Watu wa Ulaya lakini si wazungu! '''(Waingereza wazawa mbunge Diane Abbott, mwigizaji wa filamu Adewale Akinnuoye-Agbaje, waziri Paul Boateng, modeli Naomi Campbell, mwimbaji Craig David)]]
 
'''Mzungu''' ni neno la Waswahili[[Kiswahili]] kumtaja mtu anayeonekana ametoka [[Ulaya]].
 
==Neno la kumaanisha rangi ya mtu==
Ni neno ambalo zaidi linalenga [[rangi]] ya mtu na kumtofautisha yule anayetajwa na [[Mwafrika]], [[Mwarabu]], [[Mhindi]] au [[Mchina]].
 
Si neno kamili sana kwa sababu watu wanaoitwa Wazungu wanaweza kutokea kila sehemu ya [[dunia]]; [[Wamarekani]] weupe huitwa wazunguWazungu na pia [[makaburu]] kutoka [[Afrika Kusini]], [[Wakenya]] weupe na pia [[Waaustralia]]. Vilevile mtu kutoka nchi za [[Ulaya ya Kusini]] kama [[Hispania]] au [[Ugiriki]] anaweza kusababisha wasiwasi kama yeye ni mzunguMzungu au mwarabuMwarabu kwa sababu wengi wao hufanana na watu wa [[Afrika ya Kaskazini]].
 
Ikitumiwa kwa maana ya "watu wa Ulaya" inaeleweka kwa jumla isipokuwa siku hizi nchi za Ulaya hujaa watu ambao wenyewe au mababu wao walihamia hapahuko kutoka pande nyingi za dunia jinsi inavyoonekana kwenye nyusony[[uso]] yao.
 
==Neno la kutaja sifa ya mbari pamoja na jiografia==
Kiasili neno lilijitokeza wakati ambako watu waliweza kuamini ya kwamba kila sehemu ya dunia ilikuwa na rangi yake. Kwa namna hiyo inafanana na maneno katika [[lugha]] nyingine kwa mfano "negroe/negre/Neger" katika lugha za Ulaya kwa watu wanaoonekana kama wenye asili ya Kiafrika. Haina udharau[[dharau]] ndani yake kama neno la [[Kiarabu]] "abdi" linalotaja watu weusi pamoja na [[watumwa]].
 
==Kizungu kwa lugha==
Neno la "kizungu[[Kizungu]]" latumiwa mara nyingi kwa maana ya lugha ya [[Kiingereza]]., Wakatilakini wakati wa [[ukoloni]] wa [[Ujerumani]] katika [[Tanzania]] bara ("[[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]") lilitaja pia [[Kijerumani]]<ref>kamusi ya [[Carl Velten]], Suaheli Wörterbuch, Suaheli-Deutsch, Berlin 1910, Mzungu I: "neno la kizungu - europäischer (deutscher) Ausdruck"</ref>.
 
==Asili ya neno==
Asili ya neno haijulikani kikamilifu.
 
Inaonekana kuna uhusiano na neno mzungu / mizungu lisilo kawaida tena katika [[Kiswahili cha kisasa]] lakini limetunzwa katika [[kamusi za Kiswahili]] zilizokusanya maneno yaoyake mnamo mwaka [[1900]]. Lilimaanisha mambo mbalimbali kama vile: 1) kitu cha [[ajabu]] au cha kushangaza, 2) [[mbinu]] waya kujiondoa katika [[tatizo]], 3) aina ya [[muhogo]], 4) [[silika]] au [[akili]] ya [[wanyama]].<ref>kamusi ya [[M-J SSE]] "Mzungu (B)"</ref> Waswahili waliwahi kutumia neno "mzungu" kwa "akili" na pia kwa mafundisho ya "[[unyago]]" yaliyoitwa "kufundishwa mizungu".<ref>kamusi ya [[Carl Velten]], Suaheli Wörterbuch, Suaheli-Deutsch, Berlin 1910, Mzungu II</ref>. Kama asili ya "Wazungu" iko hapa iliweza kumaanisha "watu wa ajabu, wasio kawaida, wenye mbinu nyingi" au "wageni walio tofauti sana".
 
[[Waswahili]] waliwahi kutumia neno "mzungu" kwa "akili" na pia kwa mafundisho ya "[[unyago]]" yaliyoitwa "kufundishwa mizungu".<ref>kamusi ya [[Carl Velten]], Suaheli Wörterbuch, Suaheli-Deutsch, Berlin 1910, Mzungu II</ref>. Kama asili ya "Wazungu" iko hapa iliweza kumaanisha "watu wa ajabu, wasio kawaida, wenye mbinu nyingi" au "wageni walio tofauti sana".
Wengine wamehisi kwa utani ya kwamba kuna uhusiano na kitenzi "kuzunguka" na "mzungu" ilitaka kutaja tabia ya wapelelezi, wamisionari na wafanyabiashara wa kwanza kutoka Ulaya ambao hawakukaa mahali pamoja bali kuzungukazunguka kote Afrika.
 
Wengine wamehisi kwa [[utani]] ya kwamba kuna [[uhusiano]] na [[kitenzi]] "kuzunguka" na "mzungu" ilitaka kutaja [[tabia]] ya [[wapelelezi]], [[wamisionari]] na [[wafanyabiashara]] wa kwanza kutoka Ulaya ambao hawakukaa [[mahali]] pamoja bali kuzungukazungukawalizungukazunguka kote Afrika.
 
==Marejeo==