Ipagala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Utangulizi.
utangulizi
Mstari 195:
==
 
== 42. Mzee Joyce Kafanabo………………Mjumbe ==
 
==<nowiki/>==
 
== Wazee wote hawa wapo katika Kamati mbalimbali, na Wenyeviti wa Kamati huunda Kamati ya Utendaji. Aidha Baraza la Wazee limeunda Kamati Tatu maalum ambazo hazipo Kikatiba kwa ajili ya kuboresha utendaji katika Usharika wetu. ==
Mstari 208:
* Kamati ya Ujenzi.
 
=== == 5.0 ''Washarika:''
== ===
 
== Tunamshukuru Mungu kwamba Usharika wetu unaendelea kukua kwa kimaendeleo ya Kiroho na Kiuchumi pia. Washarika waliojiandikisha ni 505 na wastani wa mahudhurio kila Jumapili ni 480. ==
Mstari 215:
== 6.0 '''Huduma za Kiroho'''. ==
 
=== == 6.1 ''Ibada''
== ===
 
== Tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani anatuwezesha wakati wote kuwa na Ibada zenye utulivu na uchaji wa nguvu ya Roho mtakatifu. Ibada za kila Jumapili na zile maalum zinafanyika kwa kufuata Kalenda yetu ya KKKT isipokuwa wakati wa Matukio Maalum kama vile Mavuno, Mikutano ya Kiroho n.k.
==
Line 227 ⟶ 226:
* Ibada za Nyumba kwa Nyumba, hufanyika kila wiki mara moja katika maeneo yetu, tunazo Jumuiya 17. Changamoto kwenye Jumuiya zetu ni mahudhurio hafifu hasa kwa akina Baba. Niwaombe sasa akibaba wote tuanze kuhudhuria kwa wingi kwenye Ibada hizi. Sadaka za Jumuiya huwekwa Benki kwenye account ya Jumuiya.
 
=== == 6.2. ''Sakramenti ya meza ya Bwana''<nowiki>.
==</nowiki> ===
==
 
== Hufanyika mara moja kila mwezi, Hapa Usharikani na kwa wagonjwa walioko majumbani. Pamoja na hayo huduma hii hutolewa kwa dharura pale inapohitajika. ==
 
=== == 6.3. ''Kurudi kundini''<nowiki>.
==</nowiki> ===
==
 
== Huduma hii hutunzwa na Mchungaji Kiongozi ataifafanua vizuri kwenye taarifa ya Kichungaji. ==
 
=== == 6.4. ''Ndoa''<nowiki>.
==</nowiki> ===
==
 
== Mchungaji hutunza huduma hii kama ilivyo Sheria, matangazo ya ndoa hutolewa mara tatu ndani siku 21 kabla ya ndoa kufungwa. Kuanzia mwaka 2010 Usharika ulianzisha utaratibu wa kuandaa na kugharamia ndoa za pamoja, ili kutoa fursa kwa Washarika ambao wanapenda kutengeneza mambo yao kwa utaratibu huu. Mwaka huu tunategemea tutaendelea na zoezi hili. ==
 
=== == <br>
6.5. ''Ubatizo''
== ===
 
== Watu wazina na Watoto hubatizwa kila mara huduma hii inapohitajika, Huduma hii husimamiwa na Mchungaji. ==
 
=== == 6.6. ''Vifo.''
== ===
 
== Usharika hutoa huduma nzuri ya Faraja kwa Familia ya ndugu anaetwaliwa. Ibada ya mazishi huendeshwa kwa utaratibu wa Kanisa na kutunza kumbukumbu zote. ==
 
=== == 6.7. ''Usuruhishi''<nowiki>.
==</nowiki> ===
==
 
== Ofisi ya Mchungaji hupokea na kusuluhisha kwa siri kesi zote za kifamilia, ndugu na ndugu, kesi za ndoa, kesi za vikundi n.k. Mara chache sana hushirikisha kamati ya Utawala. Tatizo linapokuwa kubwa hupelekwa Jimboni kwa hatua zaidi. ==
 
=== == 6.8. ''Huduma za Yatima na misaada mbalimbali''<nowiki>.
==</nowiki> ===
==
 
== Usharika unatoa misaada mbalimbali kwa Watoto Yatima ikiwa ni pamoja na kulipa karo za shule na mahitaji madogomadogo. ==
 
=== == 6.9. ''Huduma kwa Wajane na Wasiojiweza.''
== ===
 
== Usharika hutoa huduma kwa Wajane na wasiojiweza kwa kuitumia Kamati yetu ya Diakonia. Huduma hizi ni pamoja na za kiroho, za kiuchumi na za kiafya. ==
Line 272 ⟶ 271:
==
 
=== == 7.1 ''Semina''<nowiki>.
==</nowiki> ===
==
 
== Kila mwaka semina mbalimbali zinaendeshwa na Usharika ili kutoa Elimu zaidi ya Kiroho,kijamii, kisheria, kiuchumi n.k. Semina hizi hutolewa kwa ajili ya vikundi vya kwaya wanandoa, akinamama, vijana na wazee wa Baraza. Walimu wa Shule ya Jumapili huandaliwa semina mahususi kwa ajili yao zingine huandaliwa na Jimbo na Dayosisi. ==
 
=== == 7.2. ''Mikutano''
== ===
 
== Kila mwaka tunafanya mikutano ya Injili angalau mara nne na Wahubiri hutoka nje ya Kanisa letu. Mikutano hii imekuwa Baraka kubwa sana kwetu. ==
 
=== == 7.2 ''Vikao''<nowiki>.
==</nowiki> ===
==
 
== Vikao vya Kamati Utendaji hufanyika mara moja kila mwezi na kunapokuwa na tukio maalum tunakuwa na vikao vya dharura. Kila robo ya mwaka tunakuwa na kikao cha Baraza la Wazee ambao husomewa taarifa ya fedha ambayo husomwa pia usharikani na washarika hupewa muda wa kuuliza na kupata ufafanuzi pale ambapo hapajaeleweka. ==
Line 293 ⟶ 292:
== 8.0.'''Elimu ya Kikristo''' ==
 
=== == 8.1.''Shule ya Jumapili''<nowiki>.
==</nowiki> ===
==
 
== Tunavyo vituo vitatu vinavyotoa elimu ya Kikristo kwa watoto wa shule ya Jumapili ambavyo ni:
i).Hapa Usharikani.
Line 324 ⟶ 322:
Watumishi wa Usharika hushirikiana katika kufundisha madarasa haya. Na mkuu wa madarasa haya ni Mchungaji. ==
 
=== == 9.0. ''Uchumi''
== ===
 
== Uchumi wa Usharika unatokana na sadaka za washarika. Sadaka hizi zimegawanyika katika mafungu yafuatayo:- ==
Line 335 ⟶ 333:
== Mwaka uliopita 2014, Usharika uliweza kukopa sh 55milioni. Kutoka Uchumi Benki iliyoko Moshi, kwa ajili ya ununuzi wa kiwanja cha kujenga Nyumba ya Mtumishi. Tunamshukuru sana Mungu kwani tulikopa deni hili mwezi wa July 2014 na tumelipa deni lote mwezi wa Disemba 2014. kwetu huu ni muujiza. ==
 
=== == 9.1. ''Miradi''<nowiki>.
==</nowiki> ===
==
 
== Tunatamani kuwa miradi mbalimbali katika Usharika wetu lakini mpaka sasa hatuna mradi wowote, hii ni changamoto. Mkumbuke wazo la kujenga zahanati na kituo cha watoto katika eneo hili halijafutika, tunatamani kupata mpango kazi wa kuwezesha wazo hili. Naomba nilitoe kwenu kama changamoto. ==
 
=== == 10.0. ''Mahusiano''
== ===
 
== Usharika wetu umeendelea kuwa na mahusiano mazuri ndani ya Jimbo, ndani ya Dayosisi, ndani na nje ya Nchi. Kwa upande wa mahusiano ya nje ya nchi tunaendelea na mahusiano mazuri na ndugu zetu wa Ohio St Martin kule Marekani. ==
 
=== == 10.1. Mitaa
== ===
 
== Usharika wetu hauna Mtaa hata mmoja tunaoutunza. ==
Line 396 ⟶ 394:
* 9) Kuhudumia wahitaji kadri Bwana atakavyotujalia.
 
=== == 11.2. Mipango ya Muda Mrefu.
== ===
* I. Ujenzi wa Zahanati
* II. Ujenzi wa Shule ya awali.
Line 415 ⟶ 413:
== Mimi ni ==
 
=== == Mzee Mwambene W J
== ===
 
== Katibu wa Usharika. ==