Guam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 106 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q16635 (translate me)
No edit summary
Mstari 52:
[[Picha:GuamMap.png|thumb|left|Guam]]
 
'''Guam''' (kwa [[Kichamoru]]: ''Guåhan'') ni [[eneo la ng'ambo la Marekani]] ('''U.S. Territory of Guam''') katikaupande wa [[kusini]] yawa [[funguvisiwa]] ya [[Mariana]] yakatika [[Bahari ya Pasifiki]]. Huhesabiwa kati ya visiwa vya [[Mikronesia]].
 
Eneo la [[kisiwa]] hicho ni [[kilometa mraba]] 543.
Eneo la kisiwa ni 543 km³. Mji mkuu ni [[Hagåtña]] (Agana). Uchumi wa Guam umetegemea kituo cha kijeshi cha Marekani pamoja na utalii.
 
Kwa sasa ni 37.1% ya wakazi wote (159,358) ni [[Wachamoru]], wakifuatwa na [[Wafilipino]] (26.3%). Wachamoru wengi zaidi wanaishi [[Marekani bara]].
Wakazi wa kwanza wanaojulikana ni Wachamoru. Tangu 1668 visiwa vya Mariana vilikuwa kolonia ya [[Hispania]]. Baada ya [[vita ya Marekani dhidi Hispania]] Guam ikatwaliwa na Marekani. Kaskazini ikauzwa kwa Ujerumani na kuwa Mariana ya Kaskazini. Wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] kisiwa kikatwaliwa na Japani. 21 Julai 1944 Waamerika walirudi na kuwafukuza Wakapani. 1949 Kisiwa kikapewa hali ya Eneo la ng'ambo la Marekani wakazi wake wakapewa uraia.
 
Upande wa [[dini]], 85% ni [[Wakristo]] wa [[Kanisa Katoliki]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[Hagåtña]] ([[Agana]]).
 
Eneo la kisiwa ni 543 km³. Mji mkuu ni [[HagåtñaUchumi]] (Agana). Uchumi wa Guam umetegemeaunategemea kituo cha kijeshi cha Marekani pamoja na [[utalii]].
 
==Historia==
Wakazi wa kwanza wanaojulikana ni [[Wachamoru]] waliohamia miaka 4,000 hivi iliyopita.
 
Tangu mwaka [[1668]] visiwa vya Mariana vilikuwa [[koloni]] la [[Hispania]].
 
Baada ya [[vita ya Marekani dhidi Hispania]] Guam ikatwaliwa na Marekani. Visiwa vya upande wa [[Kaskazini]] vikauzwa kwa [[Ujerumani]] na kuwa [[Mariana ya Kaskazini]].
 
Wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] kisiwa kikatwaliwa na [[Japani]], lakini tarehe [[21 Julai]] [[1944]] Waamerika walirudi na kuwafukuza Wakapani.
 
Mwaka [[1949]] kisiwa kikapewa hadhi ya Eneo la ng'ambo la Marekani, wakazi wake wakapewa [[uraia]] wa shirikisho hilo.
 
{{mbegu-jio-USA}}