Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 152:
[[Utitiri]] wa madhehebu ya [[Waprotestanti]] ndio wenye tofauti kubwa zaidi kati yao wenyewe na kati yao na Wakristo waliotajwa kwanza.
 
Hiyo ilitokana na msimamo wa msingi wa [[urekebisho wa Kiprotestanti]] wa kutaka kila mmoja aweze kutafsiri [[Biblia]] alivyoielewa, bila kutegemea mapokeo wala [[mamlaka]] rasmi ya Kanisa, ila msaada wa Roho Mtakatifu.
 
Tangu mwaka [[1907]] tapo la Kipentekoste[[Wapentekoste]] limeenea duniani kote (linakadiriwa kuwa na waumini milioni karibu 300) na kuathiri hata madhehebu yote ya zamani (ambapo mara nyingi waumini haowa aina hiyo wanaitwa "[[Wakarismatiki]]").
 
== Kanisa leo ==