Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
'''Ukristo''' (kutoka neno la [[ Kigiriki]] Χριστός, Khristos, ambalo linatafsiri lile la [[Kiebrania]] מָשִׁיחַ, Māšîăḥ, linalomaanisha "Mpakwamafuta" <ref>Neno "Mkristo" (Χριστιανός) lilitumika mara ya kwanza kuhusiana na wafuasi wa Yesu katika [[mji]] wa Antiokia [Mdo 11:26] mwaka [[44]] [[BK]]. Wenyewe walikuwa wanajiita "ndugu", "waamini", "wateule", "watakatifu". Katika mazingira ya [[Kisemiti]] waliendelea na bado wanaendelea kuitwa "Manasara", yaani "Wanazareti" kutokana na jina la [[kijiji]] alikokulia Yesu. Kumbukumbu ya kwanza ya mwandishi ya neno "Ukristo" (Χριστιανισμός) ni katika barua za [[Ignas wa Antiokia]], mwaka [[100]] hivi. See Elwell/Comfort. Tyndale Bible Dictionary, pp. 266, 828.</ref> ni [[dini]] inayomwamini [[Mungu]] pekee<ref>Taz. Catholic Encyclopedia (article "Monotheism"); William F. Albright, From the Stone Age to Christianity; H. Richard Niebuhr; About.com, Monotheistic Religion resources; Kirsch, God Against the Gods; Woodhead, An Introduction to Christianity; The Columbia Electronic Encyclopedia Monotheism; The New Dictionary of Cultural Literacy, monotheism; New Dictionary of Theology, Paul, pp. 496–99; Meconi. "Pagan Monotheism in Late Antiquity". p. 111f.</ref> kama alivyofunuliwa na [[Yesu Kristo]], [[mwanzilishi]] wake, katika [[karne ya 1]].
 
Dini hiyo, iliyotokana na ile ya [[Wayahudi]], inalenga kuenea kwa [[binadamu]] wote, na kwa sasa ni [[Ukristo nchi kwa nchi|kuu]] kuliko zote duniani, ikiwa na wafuasi zaidi2,200,000,000 (33.39% kati ya bilioniwatu mbili7.174 bilioni).<ref>Taz. Hinnells, The Routledge Companion to the Study of Religion, p. 441.
Zoll, Rachel (December 19, 2011). "Study: Christian population shifts from Europe". Associated Press. Retrieved 25 February 2012.
33.239% of 6.7.174 billion world population (under the section '"People' and Society") "World". CIA world facts.
"The List: The World's Fastest-Growing Religions". foreignpolicy.com. March 2007. Retrieved 2010-01-04.
"Major Religions Ranked by Size". Adherents.com. Retrieved 2009-05-05.</ref>
ANALYSIS (2011-12-19). "Global Christianity". Pewforum.org. Retrieved 2012-08-17.</ref>
 
[[Kitabu]] chake kitakatifu kinajulikana kama [[Biblia ya Kikristo|Biblia]]. Ndani yake inategemea hasa [[Injili]] na vitabu vingine vya [[Agano Jipya]].