Tofauti kati ya marekesbisho "Bonaventura wa Bagnoregio"

fix
(fix)
 
== Maisha yake kabla ya kuwa mtumishi mkuu wa shirika ==
[[File:Bonaventura - Legenda maior, MCCCCLXXVII adi VI del mese de februario e stata impressa questa opera - 2360911 ib00890000 Scan00008.jpg|thumb|''Legenda maior'', 1477]]
Mwaka aliozaliwa haujulikani kwa hakika, bali ni kati ya [[1217]] na [[1221]]. Mahali ni Civita di [[Bagnoregio]], karibu na [[Viterbo]], leo katika [[mkoa]] wa [[Lazio]], [[Italia ya Kati]].