Pitcairn : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 88 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q35672 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Bounty bay.jpg|thumb|300px|Hori la Bounty kwenye Pitcairn; nyumba za Adamstown zaonekana upande wa kulia juu]]
[[Picha:Pitcairn Islands-CIA WFB Map.png|thumb|right|Ramani ya visiwa]]
'''Pitcairn''' ni [[kisiwa]] katika [[Pasifiki]] na pia jina la
==Jiografia==
Pitcairn ni kisiwa chenye asili ya
Visiwa vingine ni [[atolli]] za Oeno, Henderson na Ducie ambavyo havina wakazi. Watu walio karibu wako kwenye [[kisiwa cha Pasaka]] (2,000 km) na kwenye [[Polynesia ya Kifaransa]] (500 km).
==Historia==
Hakuna uhakika kuhusu wakazi na wageni wa
Tangu mwaka [[1790]] kisiwa kilikaliwa na [[waasi wa Bounty]] iliyokuwa jahazi ya Kiingereza
Mwaka [[1838]] kisiwa kilitangazwa kuwa [[koloni]]
Mwaka [[1856]] watu wa Pitcairn
==Uchumi==
[[Uchumi]] unategemea hasa [[kilimo cha kijungujiko]] na misaada kutoka Uingereza. Mara chache kisiwa kinatembelewa na watalii.
==Viungo vya
*[https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/pc.html#People the cia gov factbook]
* http://www.lareau.org/pitcairn2.gif Ramani
|