Pitcairn : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
==Jiografia==
Pitcairn ni kisiwa chenye asili ya ki[[volkeno]]. Eneo lake ni 4.6 km² na idadi ya wakazi ni 46 tu, ambao wanazungumza [[Krioli]] maalumu ya [[Kiingereza]] na kuwa [[Waadventista Wasabato]].
 
Visiwa vingine ni [[atolli]] za Oeno, Henderson na Ducie ambavyo havina wakazi. Watu walio karibu wako kwenye [[kisiwa cha Pasaka]] (2,000 km) na kwenye [[Polynesia ya Kifaransa]] (500 km).