Tofauti kati ya marekesbisho "Palau"

373 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
|area_rank = ya 195
|area_magnitude = 1 E7
|area = 459465.5
|areami² = 177 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|percent_water = --
|population_estimate = 1918,907000
|population_estimate_rank = ya 217224
|population_estimate_year = Julai 20052013
|population_census = 17,500
|population_census_year =
|population_density = 4328.4
|population_densitymi² = 111 45.5 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_density_rank = ya 155
|GDP_PPP = $174 millioni<sup>2</sup><!--cia.gov 2005-->
 
[[Picha:Palau-CIA WFB Map.png|thumb|200px|left|Ramani ya Palau]]
'''Palau''' ni [[nchi ya visiwani]] ya [[Mikronesia]] katika [[Bahari ya Pasifiki]]. Iko takriban [[km]] 500 upande wa [[mashariki]] wa [[Ufilipino]]. Jumla kuna visiwa 250 hadi 350 na idadi inategemea namna gani matazamajimtazamaji anapendelea kuhesabu sehemu ya [[nchi kavu]] kuwa [[kisiwa]] kufuatana na ukubwa au udogo wake. Visiwa tisa vimekaliwa na watu na kisiwa kikubwa chenye [[km²]] 331 ni [[Babelthuap]].
 
Hadi mwaka [[1994]] ilikuwa [[nchi lindwa]] chini ya [[Marekani]] kwa niaba ya [[Umoja wa Mataifa]]. Marekani inaendelea kuwajikibakuwajibika kwa mambo ya kijeshiki[[jeshi]] kufuatankufuatana na [[mkataba]] uliofanywa baada ya [[uhuru]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[Melekeok]] kwenye kisiwa cha [[Babelthuap]].
 
Wakazi ni 18,000 hivi, ambao 70% ni wenyeji wenye asili mchanganyiko kutoka visiwa vya Pasifiki.
 
Kuna [[orodha ya lugha za Palau|lugha tano]] ambazo huzungumzwa nchini Palau.
 
Upande wa [[dini]], 49.5% ni [[Wakatoliki]], 21.3% [[Waprotestanti]] mbali ya 5.3% ambao ni [[Waadventista Wasabato]]. 8.7% wanafuata dini ya [[Modekngei]] ambayo inachanganya [[Ukristo]] na [[dini ya jadi]].
 
[[Picha:States of Palau.jpg|thumb|200px|left|Mikoa 16 ya Palau]]