Visiwa vya Marshall : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 132 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q709 (translate me)
No edit summary
Mstari 19:
|areami² = 69.8 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|percent_water = ‘‘(kidogo sana)’’
|population_estimate = 6168,963 000
|population_estimate_rank = ya 205
|population_estimate_year = Julai 20052009
|population_census = 56,429
|population_census_year = 2003
|population_density = 326342.5
|population_densitymi² = 846885.7 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_density_rank = ya 28
|GDP_PPP = $115 millioni
Mstari 51:
}}
[[Picha:RMImap-CIA.jpg|thumb|left|400px]]
'''Visiwa vya Marshall''' ni [[nchi ya visiwani]] ya [[Mikronesia]] katika [[Pasifiki]] ya [[magharibi]]. Nchi jirani katika [[bahari]] ni [[Nauru]], [[Kiribati]], [[Shirikisho la Mikronesia]] na eneo la [[Marekani]] la [[Kisiwa cha Wake]].

[[Atolli]] ya Majuro ina nafasi ya [[mji mkuu]].
 
Wakazi ni 68,000, wengi wakiwa wametokana na wenyeji wa kwanza.
 
Upande wa [[dini]], wengi ni [[Wakristo]], hasa [[Wakalvini]] (51.5%), [[Wapentekoste]], [[Wakatoliki]], mbali ya [[Wamormoni]] (8.3%).
 
== Jiografia ==
Eneo la visiwa vya Marshall ni [[safu]] mbili za visiwa au atolli zinazoelea sambamba:
* [[safu ya Ratak]] upande wa [[mashariki]] na
* [[safu ya Ralik]] upande wa [[magharibi]].
 
Kwa jumla kuna visiwa na vipande vya atolli 1,150 katika eneo la bahari la km² 1,900,000 km².
 
== Historia ==
Jina limetokana na [[nahodha]] [[Mwingereza]] [[John Marshall]] aliyetembelea eneo hili mwaka [[1788]] na kulichora katika [[ramani]]. Hata hivyoIngawa visiwa vilikaliwa tayari tangu [[karne]] nyingi na watu kutoka [[Mikronesia]] lakini [[jina]] la kizunguKizungu limebaki kwa ajili ya jumla ya visiwa.
Mwisho wa karne ya 19 Ujerumani ulianzisha ukoloni juu ya visiwa ukaviunganisha kiutawala na [[Guinea Mpya]] yya Kijerumani. Katika vita kuu ya kwanza ya dunia vilitwaliwa na Japani iliyoendelea kutawala visiwa kama eneo lindwa kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]]. Baada ya vita kuu ya pili ya dunia vilikuwa eneo chini ya Marekani.
 
Mwisho wa [[karne ya 19]] [[Ujerumani]] ulianzisha [[ukoloni]] juu ya visiwa ukaviunganisha kiutawala na [[Guinea Mpya]] ya Kijerumani.
1979 visiwa vimepata madaraka ya kujitawala na kupokea uhuru kufuatana na azimio la [[Umoja wa Mataifa]] [[1990]].
 
Mwisho wa karne ya 19 Ujerumani ulianzisha ukoloni juu ya visiwa ukaviunganisha kiutawala naKatika [[Guinea Mpya]] yya Kijerumani. Katika vita kuu ya kwanza ya dunia]] vilitwaliwa na [[Japani]] iliyoendelea kutawala visiwa kama [[eneo lindwa]] kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]]. Baada ya vita kuu ya pili ya dunia vilikuwa eneo chini ya Marekani.
 
Baada ya [[vita kuu ya pili ya dunia]] vilikuwa chini ya [[Marekani]].
 
Mwaka [[1979]] visiwa vimepata [[madaraka]] ya kujitawala na hatimaye kupokea [[uhuru]] kufuatana na [[azimio]] la [[Umoja wa Mataifa]] mwaka [[1990]].
 
=== Majaribio ya kinyuklia ===
Kuanzia mwaka [[1946]] Marekani ilitumia visiwa kwa ajili ya ma[[jaribio]] ya [[mabomu ya nyuklia]].
Kuanzia 1946 Marekani ilitumia visiwa kwa ajili ya majaribio ya mabomu ya nyuklia. Hadi 1958 ilitokea milipuko 6,913 kwenye atolli za [[Bikini (atolli)|Bikini]] na [[Eniwetok (atolli)|Eniwetok]]. Hadi leo kuna wakazi wa visiwa wanavyoteswa na maradhi yaliyosababishwa na mnurulisho wa mabomu haya. Bikini haitawezekana kukaliwa na watu kabla ya mwaka 2050, Eniwetok haifai kwa makazi ya kibinadamu kwa miaka 24,000 inayokuja.
 
Kuanzia 1946 Marekani ilitumia visiwa kwa ajili ya majaribio ya mabomu ya nyuklia. Hadi mwaka [[1958]] ilitokea milipuko 6,913 kwenye atolli za [[Bikini (atolli)|Bikini]] na [[Eniwetok (atolli)|Eniwetok]]. Hadi leo kuna wakazi wa visiwa wanavyoteswa na [[maradhi]] yaliyosababishwa na mnurulisho[[mnururisho]] wa mabomuma[[bomu]] haya. Bikini haitawezekana kukaliwa na watu kabla ya mwaka [[2050]], Eniwetok haifai kwa makazi ya kibinadamu[[binadamu]] kwa miaka 24,000 inayokuja.
 
==Viungo vya nje==
{{commons}}
{{mbegu-jio}}
 
{{mbegu-jio}}
{{Pasifiki}}
 
 
{{DEFAULTSORT:Marshall, Visiwa vya}}