Wallis na Futuna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 85 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q35555 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:LocationWallisAndFutuna.png|thumb|300px|mahaliMahali pa Wallis na Futuna baharini.]]
'''Wallis na Futuna''' ni [[eneo la ng'ambo la Ufaransa]] katika [[Bahari ya Pasifiki]] kati ya [[Fiji]] na [[Samoa]].
 
Eneo lake ni visiwa vitatu vyenye jumla ya [[kilomita za mraba]] 274 km². Idadi ya wakazi ni mnamo 16,000. Kwa upande mmoja kuna kisiwa cha Wallis na kwa upande mwingine visiwa vya Futuna. Umbali kati yao ni takriban kilomita 200.
 
Idadi ya wakazi ni 13,000. Kwa upande mmoja kuna kisiwa cha Wallis na kwa upande mwingine visiwa vya Futuna. Umbali kati yake ni takriban [[kilomita]] 200.
Wakazi walio wengi ni Wa[[polynesia]] wakiongea lugha za Kipolynesia pamoja na Kifaransa.
 
Wakazi walio wengi ni Wa[[polynesia]] wakiongea [[lugha]] za [[Kipolynesia]] pamoja na [[Kifaransa]].
Wakazi walio wengi huishi kwa kilimo cha kujikimu. Uchumi hutegemea misaada kutoka Ufaransa. Katika miaka iliyopita utalii umeanza kuchangia katika pato.
 
Wakazi walio wengi huishi kwa [[kilimo]] cha kujikimu. [[Uchumi]] hutegemea misaada kutoka [[Ufaransa]]. Katika miaka iliyopita [[utalii]] umeanza kuchangia katika pato.
 
{{mbegu-jio}}