Mji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 52 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3957 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Mji''' ni mkusanyiko wa [[makazi]] ya watu, [[shule]], [[hospitali]], [[ofisi]], madukama[[duka]], [[viwanda]] n.k. ulio mkubwa kuliko ule wa [[kijiji]]. Mji ukizidi kukua unakuja kuitwa pia [[jiji]].
Sura maalumu ya miji inategemea mambo mengi, kuanzia [[mazingira]] asili (kama yana [[milima]], mabondema[[bonde]], [[mito]], [[bandari]] n.k.).
 
Miji ya kwanza ilipatikana [[Mesopotamia]], kama vile [[Uruk]] na [[Ur (Mesopotamia)|Ur]], ingawa katakati ya miji inayodumu hadi leo ule wa kale zaidi labda ni [[Yeriko]] ([[Palestina]]).
 
Ukuaji wa ma[[dola]] ulifanya baadhi ya miji ipewe [[hadhi]] ya [[mji mkuu]], kama vile [[Roma (mji)|Roma]] ambao wakati wa [[Yesu]] ulikuwa na wakazi zaidi ya nusu [[milioni]].
 
==Viungo vya nje==
Mstari 16:
[[Jamii:Miji]]
[[Jamii:Jiografia]]
[[Jamii:Ustaarabu]]