Milioni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|Kutoka 1 hadi milioni 1 kwa kuzidisha mara kumikumi. '''Milioni''' (1,000,000) au elfu elfu, ni namba...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:42, 25 Januari 2015

Milioni (1,000,000) au elfu elfu, ni namba ambayo inafuata 999,999 na kutangulia 1,000,001.

Kutoka 1 hadi milioni 1 kwa kuzidisha mara kumikumi.

Jina linatokana na lugha Kiitalia asili ambapo millione (milione katika Kiitalia ya kisasa) lina mzizi katika neno mille, "1000", likiongezea mnyambuliko -one unaodokeza ukubwa.[1]

Tanbihi

  1. million. Dictionary.com Unabridged, Random House, Inc. Accessed 4 October 2010.